Msaada: Hatua za kufuata katika kilimo cha zabibu

Msaada: Hatua za kufuata katika kilimo cha zabibu

kabila01

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2009
Posts
4,235
Reaction score
4,964
Habarini Wakuu,

Nahitaji kupanda Zabibu miche kama 10 hivi katika eneo linalozunguka nyumba yangu. Nahitaji msaada kwa anayejua hatua kwa hatua za kupanda mpaka kuvuna.
 
Back
Top Bottom