kabila01 JF-Expert Member Joined Apr 21, 2009 Posts 4,235 Reaction score 4,964 Jul 19, 2021 #1 Habarini Wakuu, Nahitaji kupanda Zabibu miche kama 10 hivi katika eneo linalozunguka nyumba yangu. Nahitaji msaada kwa anayejua hatua kwa hatua za kupanda mpaka kuvuna.
Habarini Wakuu, Nahitaji kupanda Zabibu miche kama 10 hivi katika eneo linalozunguka nyumba yangu. Nahitaji msaada kwa anayejua hatua kwa hatua za kupanda mpaka kuvuna.