Msaada: Hatua za kuomba mkopo kwa Diploma

Msaada: Hatua za kuomba mkopo kwa Diploma

Michu99

Member
Joined
Jul 3, 2021
Posts
17
Reaction score
7
Habari wakuu,

Hivi zipi process za kuomba mkopo kwa Diploma ambao awana transcript yan maanisha ambao atújamalza semister ya mwisho.

Msaada wakuu
 
Haina tatizo, Unaweza kuomba kwa kutumia matokeo ya semista tano, just make sure huko mbeleni unawahi kuapply chuo utakachosoma iyo shahada yako
 
Back
Top Bottom