best kwanza kaibisa hongera sana kwa kupiga hatua kama hiyo iyo ndo tunataka watanzania wajiajiri na sio kutegemea ajira toka serikalilni
mambo yafuatayo yatakiwa uyafanye:-
a) Nenda BRELLA kasajiri kampuni yako na jinalako la biashara kama uko dar es salaam ofisi ziko lumumba street, mnazimoja jengo la ushirika
B) Nenda TRA kuchukua fomu za TIN, LESENI uzijaze kisha uzirudishe
c) fungua fremu yako kama bado hujafungua au sehemu yako ya biashara
Ukipata vitu vyote hivyo sasa unaweza anza biashara unayotaka kufanya,
kuhusu kutengeneza bango mm nimtengenezaji, na pia ni mchapishaji wa business card, brochure, vitabu, Tshirts n.k unakaribishwa sana kwa majadiliano na huduma pia QUOTE=mansakankanmusa;6548003]
- kuna uhusiano wowote wa kuweka bango la biashara katika site yangu na Watu wa mapato?
- Mapato kwa mwaka au ni kwa mwezi, je ni shng ngapi
[/QUOTE]