korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,054
- 1,269
Hivi kwani lazima kuishi na mwanamke? Mamaeeeeeee pumbaaaafSijashauri urudiane nae ila ungejitahidi sana kumuondoa kwa njia za kidiplomasia mie yameshanikuta Kama hayo yako nilikuja kutoa milioni 40 kunusuru mjengo wangu
Wewe mwenyewe umesema "mmejenga" sasa kwanini unataka kumdhulumu. Hiyo nyumba mliyojenga mkiwa pamoja ni yenu wote aliyoikuta ni ya kwako
hilo sio sababu mkuu..sharia inasema hata kama alikuwa yuko nyumbani lakini alikupa mawazo nayo ni msaada kwako piaKivipi na hakuwa anatafuta pesa ni mama wa nyumbani na ninamtunzia mtoto wake
wanaume tuwe makini tunavoishi na hawa jamaa aisee sio unapewa mbunye basi unajisahau kabisa unaanza na kujieleza kila kitu mmhhWewe mwenyewe umesema "mmejenga" sasa kwanini unataka kumdhulumu. Hiyo nyumba mliyojenga mkiwa pamoja ni yenu wote aliyoikuta ni ya kwako
Hiyo ni hiyari yako Ila kuhusu Mali kuna kila sababu ya kugawana... Mali ulizochuma kuanzia mwaka 2017 hii ni ngumu sana kukwepa..Halafu imakuwaje unaenda kuoa single mother wakati wanawake wabich wamejaa kila kona.Ndiyo na muhuri ,saini yangu. Vipi Mkuu kuhusu Mimi kulipwa gharama za kutunza mtoto asiye wangu?
Point hii..kisheriaKisheria, Dhana ya ndoa inasema hivii:
1. Kama mmeishi pamoja miaka 2 na kuendelea;
2. Majirani wanawajua nyie kama ni mume na mke.
Basi hiyo ni ndoa kamili na kila mwanandoa ana haki kamili za mirathi pindi kikitokea chochote.
Sasa nyie mmekaa pamoja toka 2017, tena mmejenga pamoja (haijalishi pesa katoa nani), mpaka hapo huyo hakuwa hawara bali mke wako kabisa.
Ushauri: Muite myajenge kistaarabu, mpooze kidogo ili kuepusha milolongo na fedheha zitakazokupata huko mbeleni.
Unforgetable
Sio hawala nu hawaraNi muda Wa miaka mitatu sasa umepita tangu tukutane na huyu binti yaani mwaka 2017 akiwa Single mother yaani ameisha zalishwa mtoto mmoja. Tukabebana hapa sokoni bila kwenda kwao tukayajenga tukakubaliana nikamchukua yeye na mtoto wake tukaanza maisha.
Alinikuta nina nyumba moja na Kiwanja hivi sasa kile Kiwanja nimejenga na tumehamia huko.
Sasa mtafaruku unaanzia pale tulipo kwazana na anataka kuondoka na Mimi ninataka kuachana naye maana visanga vimezidi na yeye anadai tugawane Mali tulizovuna wote kwa muda huo jamani wanasheria Msaada hapo kisheria imekaaje?
Siyo miezi mitatu ila ni miaka miwili au zaidi. Zaidi ya hapo ni kuwa, hata huo huo muda ukipita bado unaweza kujenga hoja kuwa hamkuwa mnaishi kama mme na mke, hii ni kuendana na kifungu cha 160 cha sheria ya Ndoa. Kwa kujibu hoja yako sasa, swala la apate nini litaamuliwa na mchango wake katika kupata au kuboresha mali zilizopatikana. Mchango wake unajuisha pesa, kazi za nyumbani na fursa alizokosa kutokana na yeye kufanya kazi hizo za nyumbani. Hivyo basi, hata dhana ya ndoa (presumption of marriage) ikishindwa bado anaweza kudai nje ya mahusiano ya kindoa, yani adai kama mtu watu waliofanya business deal tu ya kawaida.Siwezi maana had I mama mkwe ananikashifu
Unazani mbunye ni kama pilipili ukiweka kaulimi unakimbia? Ni asali ndiyo maana ukionja tu mwenyewe unazamia humo humo, si vyakuchekana.wanaume tuwe makini tunavoishi na hawa jamaa aisee sio unapewa mbunye basi unajisahau kabisa unaanza na kujieleza kila kitu mmhh
Mwanzoni hapo umemjibu kama mko kijiwe cha kahawa na sio kisheria.bora hapo mwisho umeongea la maana ila kumwambia ati amfanye mfanyakazi wa ndani? Hiyo sheria umeisoma wap?Ipo hivi kaka ,ukitaka huyo mwanamke usimlipe chochote mfanye mfanyakazi wako wa ndani, nenda selikalinj ulizia mfanyakazi wa ndani analipwa sh ngapi kwa mwezi kisha ww umlipe kuanzia mwaka ule mpka leo, kwa mfano kwa mwezi analipwa 70 elfu Fanya mara 12 kisha mala miaka mliokaa ndio umlipe aende zake kwa sabababu
Alikuwa anakufulia ,anasafisha nyumba, anakupikia lkn pia ulikuwa ukimtumia kama mke, kwa hiyo haki ya kumlipa anayo,
Kuhusu hiyo nyumba mliojenga chako kiwanja,watakuja watu kufanya tasmini kisha unatakiwa eidha umlipe samani ya nyumba bila kiwanja yaani matofali bati na nk,kama hauna pesa inapigwa tasmini na kiwacha na tasmini ya nyumba inauzwa pesa yako ya kiwanja unapewa pesa ya ujenzi wa nyumba mnagawana,hapo ndio mwisho wa hukumu ya kesi ,Fanya muyamalize kwa hekma
Au kama vipi amtumie majambazi tu. Wamalize kazi. Akishakua marehemu kesi imeisha. Sema itabidi amtunze mtoto.Mwanzoni hapo umemjibu kama mko kijiwe cha kahawa na sio kisheria.bora hapo mwisho umeongea la maana ila kumwambia ati amfanye mfanyakazi wa ndani? Hiyo sheria umeisoma wap?
Presumption of marriage ni two years ( sheria ya ndoa) kama wanaishi wote ndani ya nyumba na watu wanawaona etc.
Hayo ya kumshauri ati aende serikalini aulize mshahara wa mfanya kazi alipe miaka aloishi naye unaweza nipa kifungu cha sheria nami nipate elimu mpya? Hicho kitu hakiwezi tokea maana wanaume wote watawageuza wake waloishi nao ma house maids.
Ina maana yeye ni mjinga kukubali alipwe kama mfanyakazi wakati alikuwa akiishi nae kama mme na mke?
Mleta mada ana option mbili tu.
1: wagawane kisheria vitu walivyochuma wote. Excluding mali alizokuwa nazo kabla hawajaanza kuishi wote.kasema nyumba wamejenga wote etcπππππ kama nawaona, anakula papuchi bure miaka 3 leo anataka aondoke bureπππ
2: kama anaweza kumshawishi mke wamalizane vizuri bila kwenda mahakamani itapendeza.
Inshort mwanaume asilete ubabe alimzoa sokoni mwenyewe.
Kiwanja na nyumba ni yako, kama anataka kuondoka aondoke na chupi zake tu pamoja na nguo.....kama una huruma naye mpe laki moja ya kupanga na mwachie kitanda aondoke nacho akajisifie kuwa alikukomoa.Ni muda Wa miaka mitatu sasa umepita tangu tukutane na huyu binti yaani mwaka 2017 akiwa Single mother yaani ameisha zalishwa mtoto mmoja. Tukabebana hapa sokoni bila kwenda kwao tukayajenga tukakubaliana nikamchukua yeye na mtoto wake tukaanza maisha.
Alinikuta nina nyumba moja na Kiwanja hivi sasa kile Kiwanja nimejenga na tumehamia huko.
Sasa mtafaruku unaanzia pale tulipo kwazana na anataka kuondoka na Mimi ninataka kuachana naye maana visanga vimezidi na yeye anadai tugawane Mali tulizovuna wote kwa muda huo jamani wanasheria Msaada hapo kisheria imekaaje?