Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,550 Reaction score 39,949 Nov 22, 2020 #221 Ingekuwa mimi hata bila kugawana tu. Nilivyo na roho nyepesi ningemuachia vyote. Pesa mali zinatafutwa hawakawii kwenda kwa waganga kutoa roho yako.
Ingekuwa mimi hata bila kugawana tu. Nilivyo na roho nyepesi ningemuachia vyote. Pesa mali zinatafutwa hawakawii kwenda kwa waganga kutoa roho yako.