Msaada hela za marehemu

pure man

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2015
Posts
553
Reaction score
443
Ni mwaka wa pili sasa na miez kadhaa tangu kaka yangu amefariki akiwa mwalimu,kama familia tulifanya taratibu zote kuhusu mirathi lakin paka sasa ni hakuna jibu,marehem ameacha watoto mke wakiokuwa wanamtegemege,naombeni msaada nifanyaje kupata mirathi hii
 
Shida iko kwa msimamizi wa mirathi, sijui kama unajua sheria hizi? ila kama hujui basi jua msimamizi ndo mhusika mkuu, fatilia ujue je kafata procedures????
 
Shida iko kwa msimamizi wa mirathi, sijui kama unajua sheria hizi? ila kama hujui basi jua msimamizi ndo mhusika mkuu, fatilia ujue je kafata procedures????
Naomba nielekeze maana nakumbuka tulifanya kila kitu kinachotakiwa
 
Msimamizi wa mirathi anatakiwa auatilie kwani si kazimrahisi. Hatua gani imefika ili wanasheria wakusaidie pa kuendelea?
 
Kama mlifanya taratibu zote rudini mahakamani kwani mahakama ina uwezo wa kuwaita na kuwahoji kwanini hawataki kutoa pesa za marehemu
 
Msimamizi wa mirathi anatakiwa auatilie kwani si kazimrahisi. Hatua gani imefika ili wanasheria wakusaidie pa kuendelea?
Documents zote zimeenda tayari lakin hakuna majibu yyte mkuu
 
k

asema uncle ake ndo msimamizi so wameshapigwa tayar

mumshtaki huyo anko enu.
Kweli kabisa hata mm naona ako wao kashaingiza mjini bila ndara kasha chukua mshiko kasepa kama lowasa na taarifa hawapi ili wasijue kama kashazipiga. Duh kweli kufa kufaana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…