Sir_Finus
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 330
- 139
Wadau wa jf naombeni msaada wenu aisee nimeapply form za mkopo kwenye heslb kwaajili ya mdogo wangu but kila kitu kimeenda poa but kwenye printing inagoma inasema error kwenye f6index no nimeshindwa kuelewa tatizo ni nini cuz nimefuatilia vile vipengele vyote cjaona sehemu ya kujaza namba ya form 6 zaidi ya kuchoose kama ww ni f6 o diploma.... msaada wenu wadau naombeni