Na mimi nna shida mkuu, jana nimefanya malipo kwa M-pesa nimefuatiliza taratibu zote, nikapokea na Transaction code/Id
ila nikija kuingiza wakati wa kujisajili inasema M-pesa transaction ID does't exist, nimejaribu jana siku nzima na leo pia bila mafanikio, sijui hapa unanisaidiaje mkuu.