Msaada heslb

Msaada heslb

Lofefm

Senior Member
Joined
May 22, 2011
Posts
126
Reaction score
80
Kwa wale walioenda wizara ya elimu leo naomba mnijuze yaliyojiri........
0786107530
au
0763107831

mwambathegreat@gmail.com

Kwa wale walioenda wizara ya elimu leo naomba mnijuze yaliyojiri........

0786107530

au

0763107831

mwambathegreat@gmail.com

nipgie kwa namba hi nkutonye 0680000001.

wote tunataka kujua km vp walioko huko watujuze kuptia jf na sio cm

Wamesema kwamba hawakuweza tena kukaa kikao ile ijumaa, kwa hiyo kikao wangekaa leo ile saa nane, kuhusu wataamua nini wamesema twende kesho saa 6 mchana tutaambiwa. Walituletea mpaka usalama wa taifa, sasa sijui wana wasiwasi gani watu hate nyembe hatuna! Ndo hivyo bana we kama vipi kesho uwepo.

watachosema iyo kesho tunaomba mtujuze wa mikoan..... Ahsanten wanaJF kwa kutu-up2date gudnewz ka izo

Back
Top Bottom