Wamesema kwamba hawakuweza tena kukaa kikao ile ijumaa, kwa hiyo kikao wangekaa leo ile saa nane, kuhusu wataamua nini wamesema twende kesho saa 6 mchana tutaambiwa. Walituletea mpaka usalama wa taifa, sasa sijui wana wasiwasi gani watu hate nyembe hatuna! Ndo hivyo bana we kama vipi kesho uwepo.