Msaada HESLB

Laswell

Senior Member
Joined
Feb 23, 2024
Posts
144
Reaction score
191
Salaam, Mimi ni mnufaika wa mkopo wa masomo kwa asilimia 50%. Nimekuta kwenye mfumo wameniandikia deni la 575,690,250.00.
Nimeshituka kwani nasoma miaka mi3 masomo ya ya ualimu na kwasasa nipo mwaka wa2.

NB: Mimi ni mwajiriwa
 
Wasiliana na wahusika wanamajibu mazuri Sana tofauti na hapa.
 
Falsafa ya elimu bure alikufa awamu ya kwanza ya utawala,kipindi hicho unasomea ualimu na unalienable kichele,120 tsh na ukienda jkt nako unalipwa 100tshs,sasa ule wako ujonge siku ya pay day...itakua imekula kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…