Msaada! HESLB

Msaada! HESLB

Smartbrain

Senior Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
184
Reaction score
34
Nimekosea kuandika index namba kwenye m-pesa na hela imekwisha enda HESBL nimeongea na voda wamesema nisubir masaa 24 lakin yamepita na pesa haijarud. Jaman naomben msahaada wenu wanajamvi
 
Iyo ishakwenda kaka....kwa kuangalia na muda nakushauri ulipie upya m pesa afu ndo uje ku apply ila ukiitaka hela yako utapiga mbizi kwenye lami
 
we waambie voda wakutumie ile msg ya kuthibitisha kuwa hela imetumwa halaf tumia zile namba za muhamala kujisajili heslb
 
index number kwa m-pesa ni kwa ajili ya kumbukumbu, we cha msingi unayo transaction code endelea kufanya registrtion hiyo number haina shida upo safe
 
ahasnteni jaman nimefanikiwa kujaza form ya HESLB nashukuruni kwa msaada wenu
 
Back
Top Bottom