Smartbrain Senior Member Joined Mar 23, 2013 Posts 184 Reaction score 34 Jun 10, 2013 #1 Nimekosea kuandika index namba kwenye m-pesa na hela imekwisha enda HESBL nimeongea na voda wamesema nisubir masaa 24 lakin yamepita na pesa haijarud. Jaman naomben msahaada wenu wanajamvi
Nimekosea kuandika index namba kwenye m-pesa na hela imekwisha enda HESBL nimeongea na voda wamesema nisubir masaa 24 lakin yamepita na pesa haijarud. Jaman naomben msahaada wenu wanajamvi
Mbrazili JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 649 Reaction score 90 Jun 10, 2013 #2 Iyo ishakwenda kaka....kwa kuangalia na muda nakushauri ulipie upya m pesa afu ndo uje ku apply ila ukiitaka hela yako utapiga mbizi kwenye lami
Iyo ishakwenda kaka....kwa kuangalia na muda nakushauri ulipie upya m pesa afu ndo uje ku apply ila ukiitaka hela yako utapiga mbizi kwenye lami
pacesetter JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 255 Reaction score 306 Jun 10, 2013 #3 we waambie voda wakutumie ile msg ya kuthibitisha kuwa hela imetumwa halaf tumia zile namba za muhamala kujisajili heslb
we waambie voda wakutumie ile msg ya kuthibitisha kuwa hela imetumwa halaf tumia zile namba za muhamala kujisajili heslb
Sauli JF-Expert Member Joined Aug 14, 2012 Posts 416 Reaction score 574 Jun 10, 2013 #4 index number kwa m-pesa ni kwa ajili ya kumbukumbu, we cha msingi unayo transaction code endelea kufanya registrtion hiyo number haina shida upo safe
index number kwa m-pesa ni kwa ajili ya kumbukumbu, we cha msingi unayo transaction code endelea kufanya registrtion hiyo number haina shida upo safe
Smartbrain Senior Member Joined Mar 23, 2013 Posts 184 Reaction score 34 Jun 11, 2013 Thread starter #5 ahasnteni jaman nimefanikiwa kujaza form ya HESLB nashukuruni kwa msaada wenu