Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi question marks nyekundu kwangu nikama mapambo kwani nikiweka mouse hazifunguki kunipa maelezo! Hapo kwenye B na C najaza namba katika mfumo upi wakuu? kila nikijaza naambiwa invalid index, asanteni kwa ufafanuzi.View attachment 161631
apo kipengele A,chagua kama na school candidate au ni private candidate,B weka namba ya shule mf =0687,then C weka namba yako ya mtihani,mf= 0042,then kipengele cha mwisho weka Mwaka uliomaliaza,ikizingua upande wakulia kwako kuna sehemu imeandikwa kwa maandishi mekundu desk helpe click kipengele cha mwisho kilicho andikwa form four index.