Msaada HESLB!

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
7,745
Reaction score
11,267
Hizi question marks nyekundu kwangu nikama mapambo kwani nikiweka mouse hazifunguki kunipa maelezo! Hapo kwenye B na C najaza namba katika mfumo upi wakuu? kila nikijaza naambiwa invalid index, asanteni kwa ufafanuzi.
 
Hizi question marks nyekundu kwangu nikama mapambo kwani nikiweka mouse hazifunguki kunipa maelezo! Hapo kwenye B na C najaza namba katika mfumo upi wakuu? kila nikijaza naambiwa invalid index, asanteni kwa ufafanuzi.View attachment 161631

apo kipengele A,chagua kama na school candidate au ni private candidate,B weka namba ya shule mf =0687,then C weka namba yako ya mtihani,mf= 0042,then kipengele cha mwisho weka Mwaka uliomaliaza,ikizingua upande wakulia kwako kuna sehemu imeandikwa kwa maandishi mekundu desk helpe click kipengele cha mwisho kilicho andikwa form four index.
 

Asante sana mkuu, ngoja nijaribu tena kwani nilikuwa nimekata tamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…