Msaada hi GARI ya Audi TT 2011

Msaada hi GARI ya Audi TT 2011

Choro nondo

Member
Joined
May 23, 2018
Posts
15
Reaction score
6
Habari ndugu zangu hope mko poa Na buheri Wa afya ..ndugu zangu samahanini sana me Mgeni Wa magari kwenye pita pita zangu nimeona GARI ya Audi TT 2011 iko poa sana INA cc 1980 nimeipenda Na very affordable swali langu je vipi services zake in terms of gharama?ulaji wake Wa mafuta?Na spea zake zinapatikana nnchini?ntashukuru kwa jibu lolote mtalonichangia ndugu zangu asanteni Na samahani kwa usumbufu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Audi ni gari nzuri lakini nikushauri tafuta gari ya kijapani.
 
Audi ni gari nzuri lakini nikushauri tafuta gari ya kijapani.
Kwa sababu ya spea sio?napenda Audi cos GARI zinazotengenezwa Germany zinakuwa imala ata kama spea ghali uki repair once itachukua mda Ku repair tena thanks brother pamoja ...ila kwanini umesema nisichukue Audi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oooh Na ki vitz old model ndo yamizunguko hii unaonaje nikaifanya ya outing Na trip moja moja za chuga itafaa?
Mkuu unavonunua gari ya Germany sana sana Audi BMW na MBenz jiulize kwanza haya maswali:

1. Umejiandaa kwa ulaji wa mafuta wa cc2000 kwenda juu.?

2. Umejiandaa kununua spea za bei ghali? Na kufanya service za bei kali?

Kama ni gari yako ya kwanza anza na Japan mzee ata mwaka mmoja baadae ndio daka Audi.

Ila kama ni gari ya kwanza hafu upo vizuri poa nunua ila angalia sana mafundi. Mafundi wa Tanzania wengi ni wataalam wa Toyota so wanaua magari sana.

Kuna mtu namjua aliuza BMW X3 kwa Mil 11 na bado hakupata mteja. Mafundi wa kubahatisha walimuulia gearbox yaani hamu ya gari ilimkata.s
 
Dah! Umeongea ukweli mtupu

Nakumbuka wakati naanza kumiliki gari, nilitembelea Toyota karibu zote za kawaida (kuanza na Allion, Harrier, Rav 4 na Crown nk) na ndipo baadae nikanunua Mercedes yangu kwa mara ya kwanza 2017.

Ni vizuri kabla ujaanza na mjerumani uwena uzoefu na magari ya mjapan ili usipasuke kichwa.

Kwa taarifa ni tangu nimeanza kumiliki Benz sijawahi kujutia kwa kweli. Na sitamani kutumia aina nyingine ya gari zaidi ya Mjerumani kwa sasa.
 
Gari nzuri za kuanzia ni hizi Japan esp Toyota kama IST, Allion, Allex, Runx, Passo etc.

Baadae ndio unaamia hayo madude.

Gari ya kwanza gharama sana. Esp kwenye matengenezo na mafuta.
 
Kwani wenye Audi wanapungukiwa nini wanachopata wenye magari ya Japan?
Kwa sisi Watz JDM cars ni affordable na easy to maintain them, hapo ndio upungufu ulipo chief.
Ila in terms of class and Comfortability magari kama Audi, BMW, Benzi etc wao wapo mbali.
 
Shida wenye uwezo wa kununua gari na akili zetu tunawasikiliza madalali na mafundi ambao ni STD 7.Mafundi waoga na wanatutisha tisha tu,niliwahi kushawishiwa nisinunue gari kisa ni D4 engine.
Tutimie maarifa yetu na gereji nzuri gari yoyote hupati shida.
Mkuu chukua tu audi utupite wenye vi noah zetu barabarani.
 
Back
Top Bottom