Choro nondo
Member
- May 23, 2018
- 15
- 6
Kwa sababu ya spea sio?napenda Audi cos GARI zinazotengenezwa Germany zinakuwa imala ata kama spea ghali uki repair once itachukua mda Ku repair tena thanks brother pamoja ...ila kwanini umesema nisichukue Audi?Audi ni gari nzuri lakini nikushauri tafuta gari ya kijapani.
Umeshajijibu mkuu, sababu ni hiyohiyo spair.Kwa sababu ya spea sio?napenda Audi cos GARI zinazotengenezwa Germany zinakuwa imala ata kama spea ghali uki repair once itachukua mda Ku repair tena thanks brother pamoja ...ila kwanini umesema nisichukue Audi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja
Mostly ni spare parts na Ina umeme mwingi.Kwa sababu ya spea sio?napenda Audi cos GARI zinazotengenezwa Germany zinakuwa imala ata kama spea ghali uki repair once itachukua mda Ku repair tena thanks brother pamoja ...ila kwanini umesema nisichukue Audi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh Na ki vitz old model ndo yamizunguko hii unaonaje nikaifanya ya outing Na trip moja moja za chuga itafaa?Mostly ni spare parts na Ina umeme mwingi.
Mkuu unavonunua gari ya Germany sana sana Audi BMW na MBenz jiulize kwanza haya maswali:Oooh Na ki vitz old model ndo yamizunguko hii unaonaje nikaifanya ya outing Na trip moja moja za chuga itafaa?
Itakufaa mkuu.Oooh Na ki vitz old model ndo yamizunguko hii unaonaje nikaifanya ya outing Na trip moja moja za chuga itafaa?
Dah! Umeongea ukweli mtupuMkuu unavonunua gari ya Germany sana sana Audi BMW na MBenz jiulize kwanza haya maswali:
1. Umejiandaa kwa ulaji wa mafuta wa cc2000 kwenda juu.?
2. Umejiandaa kununua spea za bei ghali? Na kufanya service za bei kali?
Kama ni gari yako ya kwanza anza na Japan mzee ata mwaka mmoja baadae ndio daka Audi.
Ila kama ni gari ya kwanza hafu upo vizuri poa nunua ila angalia sana mafundi. Mafundi wa Tanzania wengi ni wataalam wa Toyota so wanaua magari sana.
Kuna mtu namjua aliuza BMW X3 kwa Mil 11 na bado hakupata mteja. Mafundi wa kubahatisha walimuulia gearbox yaani hamu ya gari ilimkata.s
Gari nzuri za kuanzia ni hizi Japan esp Toyota kama IST, Allion, Allex, Runx, Passo etc.Dah! Umeongea ukweli mtupu
Nakumbuka wakati naanza kumiliki gari, nilitembelea Toyota karibu zote za kawaida (kuanza na Allion, Harrier, Rav 4 na Crown nk) na ndipo baadae nikanunua Mercedes yangu kwa mara ya kwanza 2017.
Ni vizuri kabla ujaanza na mjerumani uwena uzoefu na magari ya mjapan ili usipasuke kichwa.
Kwa taarifa ni tangu nimeanza kumiliki Benz sijawahi kujutia kwa kweli. Na sitamani kutumia aina nyingine ya gari zaidi ya Mjerumani kwa sasa.
Kwani wenye Audi wanapungukiwa nini wanachopata wenye magari ya Japan?Audi ni gari nzuri lakini nikushauri tafuta gari ya kijapani.
Kwa sisi Watz JDM cars ni affordable na easy to maintain them, hapo ndio upungufu ulipo chief.Kwani wenye Audi wanapungukiwa nini wanachopata wenye magari ya Japan?