Msaada Hii gari

Mkuu vingine jiongeze aisee.
Hata demu cheap na Expensive unawaona kwa jicho tu
Mkuu hyo gar hapo inanusa mafuta tu je muonekno wake ni sawa na unusaji wake? Inaitwa toyota CH-R Ina Cc 1200 nyingne mpka 900
 
Kunusa mafuta kunaangaliwa kwa muonekano?
Kwa Taharifa yako hiyo ni CADILLAC CT6 2.0L (production ya kwanza ni 2016-2018).
ila hii ni ya 2016
Bei used $32,500.(minimum).kulingana na nilivyochek dealers
BT 4cyl pia zipo check hapa spec.[emoji116]


 
Hiyo gari ni Cadillac kama sijakosea. Ni gari nzuri mkuu kama Vp ichukue tu uwe wa tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…