Msaada: Hii imekaaje!

Msaada: Hii imekaaje!

Ni uduni wa elimu ya kujieleza kwa njia ya kalamu,wala hamna cha maana hapo.maana yake huyo mtu anajiona ana machale ya kuhisi kitu kabla hakijatokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
ahsante sana mkuu
Umeelezea vzr.ila mkuu kwa hiyo kwa maana nyingine ana uwezo wa kuelewa jambo litakalotokea na likatokea?au ni probability?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
“ana kipaji kikubwa kilichopo ndani ya mwili wake ambacho ni pamoja na kuelewa mambo kimbele”
.
Complicated, Nadhani anamaanisha anaelewa Mambo kwa haraka Sana "kuelewa mambo kimbele" [emoji1745] [emoji1745]
 
shukran mkuu,ndio maana mpo hapa Jf[emoji2]

Kwa hiyo kwa haraka haraka mkuu tuseme kwa maana yake anaelewa ya kidarasani? au kijamii?...au ni ile ya kuusoma mchezo kwanza[emoji38][emoji38].. inakaaje hii mtaalamu

Karibu,tuelimishane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom