ahsante sana mkuuNi uduni wa elimu ya kujieleza kwa njia ya kalamu,wala hamna cha maana hapo.maana yake huyo mtu anajiona ana machale ya kuhisi kitu kabla hakijatokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
shukran mkuu,ndio maana mpo hapa Jf[emoji2]“ana kipaji kikubwa kilichopo ndani ya mwili wake ambacho ni pamoja na kuelewa mambo kimbele”
.
Complicated, Nadhani anamaanisha anaelewa Mambo kwa haraka Sana "kuelewa mambo kimbele" [emoji1745] [emoji1745]
[emoji38]Write your reply..in short .ni mganga wa kienyeji huyo