Msaada:Hii Mazda atenza sports wagon itanigharimu kiasi gani kuimiliki?

Msaada:Hii Mazda atenza sports wagon itanigharimu kiasi gani kuimiliki?

The Wolf

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
9,412
Reaction score
20,685
samahani wakuu!!nimetokea kuipenda hii gari na hesabu zilinipiga kikumbo tangu siku nyingi nashinda kukokotoa na kikokotozi cha TRA naona chenga tuu

MAZDA Atenza sport wagon
Manufacture year: 11/2004
registration year: 2/2005
CC: 2260
FOB + Shipping cost: $2616

Nisaidieni jamani
 
Andaa 10m.Utainunua,utaship na kukomboa TRA
 
asante mkuu nilikua natka kujua gharama kamili kama unaweza kunisaidia
 
asante mkuu nilikua natka kujua gharama kamili kama unaweza kunisaidia

Gharama kamili ipi tena mkuu?hiyo nimekupa makadirio ya juu kutokana na uzoefu but kwakuwa gari halitakua na uchakavu inaweza isifike 10m lakini pia haitapungua 8m.Na siku zote jipe makadirio ya juu unaponunua gari.
 
Asante mkuu atlst isivuke 8.5
 
samahani
wakuu!!nimetokea kuipenda hii gari na hesabu zilinipiga kikumbo tangu
siku nyingi nashinda kukokotoa na kikokotozi cha tra naona chenga tuu

mazda atenza sport wagon
manufacture year: 11/2004
registration year: 2/2005
cc: 2260
fob + shipping cost: $2616

nisaidieni jamani

nipigie kwa 0769 610 622,nikusaidie
 
Back
Top Bottom