Alfred JF-Expert Member Joined Apr 13, 2008 Posts 2,093 Reaction score 2,843 Sep 5, 2018 #1 Hii ni sare ya jeshi lipi hapa Nchini?
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,320 Sep 5, 2018 #2 Hiyo sio sare ya jeshi hao ni usalama wa taifa
Alfred JF-Expert Member Joined Apr 13, 2008 Posts 2,093 Reaction score 2,843 Sep 5, 2018 Thread starter #3 Nokia83 said: Hiyo sio sare ya jeshi hao ni usalama wa taifa Click to expand... Mimi ndio naiona hii, lakini kwa ufahamu wangu Usalama wa Taifa hawavai hizi Jezi
Nokia83 said: Hiyo sio sare ya jeshi hao ni usalama wa taifa Click to expand... Mimi ndio naiona hii, lakini kwa ufahamu wangu Usalama wa Taifa hawavai hizi Jezi
evonik JF-Expert Member Joined Jun 12, 2015 Posts 3,996 Reaction score 5,156 Sep 5, 2018 #4 Hicho jeshi/kikos cha Akiba cha rais Lkn Hata jku sare zao ni kama hizo
GenuineMan JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 6,260 Reaction score 14,470 Sep 5, 2018 #5 Picha ile ile, swali lile lile, unauliza sare ipi mkuu?
Alfred JF-Expert Member Joined Apr 13, 2008 Posts 2,093 Reaction score 2,843 Sep 5, 2018 Thread starter #6 evonik said: Hicho jeshi/kikos cha Akiba cha rais Lkn Hata jku sare zao ni kama hizo Click to expand... Maybe, sikuwa nafahamu hili
evonik said: Hicho jeshi/kikos cha Akiba cha rais Lkn Hata jku sare zao ni kama hizo Click to expand... Maybe, sikuwa nafahamu hili
Alfred JF-Expert Member Joined Apr 13, 2008 Posts 2,093 Reaction score 2,843 Sep 5, 2018 Thread starter #7 M kathias said: Picha ile ile, swali lile lile, unauliza sare ipi mkuu? Click to expand... una maana gani
M kathias said: Picha ile ile, swali lile lile, unauliza sare ipi mkuu? Click to expand... una maana gani
Waziri wa Kaskazini JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 7,981 Reaction score 17,743 Sep 5, 2018 #8 Kuna thread tayar imesha jadiliwa
Alfred JF-Expert Member Joined Apr 13, 2008 Posts 2,093 Reaction score 2,843 Sep 5, 2018 Thread starter #9 Waziri wa Kaskazini said: Kuna thread tayar imesha jadiliwa Click to expand... Okay sikujua
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 21,329 Reaction score 28,063 Sep 5, 2018 #10 Jamhuri ya vocha!!! Hahahaaaaaa! Tz bana