Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila maisha haya kila kitu ni cha kujarbu 😂Naomba msaada kwa wazoefu ,hili jiwe la kawaida au ni aina tu ya madini.Nimeokota nikawa nawasiwasiView attachment 1938957View attachment 1938958
Hiyo ni volcanic glass au moldaviteRangi ni kama dark blue inayong'aa
Daah! Basi itakuwa ni jiwe tu. Kwani wewe ulihisi ni madini gani?Almasi inajulikana mkuu
Rangi iwe dark blue inayong'aa halafu halafu jiwe liwe green garnet. Lakini hii akili yangu bhanGreen tourmaline au green garnet mali hyo mkuu
Ni kuwa wavumilivu tuuu mkuuMkuu hata mi hapo nimekosa la kujibu
Hio ni moon stone au diamond nyeuseNaomba msaada kwa wazoefu ,hili jiwe la kawaida au ni aina tu ya madini.Nimeokota nikawa nawasiwasiView attachment 1938957View attachment 1938958
Ni mfano wa Dragon glass au kwa jina jingine Volcanic Glass iliyotumika kwenye Series ya Game of Thrones kuwaua The Army Of The Dead.Naomba msaada kwa wazoefu ,hili jiwe la kawaida au ni aina tu ya madini.Nimeokota nikawa nawasiwasiView attachment 1938957View attachment 1938958
😂😂😂 maisha maishanMkaa huo nenda kapikie hamna madini hapo