Msaada: Hili jiwe la kawaida au ni aina ya madini?

Mkuu hata mi hapo nimekosa la kujibu
Ni kuwa wavumilivu tuuu mkuu

Lakini kapicha hakaonekani vizuri embu kapige kwenye mwanga ili katoe rangi halisia

JF ni kisima cha maarifa
 
Mkaa huo nenda kapikie hamna madini hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…