Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hilo jiwe linaitwa Obsidian. Halina thamani sana kama gem. Jaribu ku google hilo jina utapata details.Naomba msaada kwa wazoefu ,hili jiwe la kawaida au ni aina tu ya madini.Nimeokota nikawa nawasiwasiView attachment 1938957View attachment 1938958
Tena hizo conchoidal structures hyo ni volcanic glass bila shakaHiyo ni volcanic glass au moldavite
Usipende ku Google na kuamini kila jina ndio jiwe lenyewe kwanza unatakiwa kujua mawe yanafanana rangi aina nyingi kinachotakiwa ni kuangalia tabia ya jiwe na mpangilio wa nyama zake na lilipopatikana ni wapi hilo jina ulilotaja ukiulizwa yanapatikana wapi hutaweza kujibu najua utaenda ku Google lakini pia sio madini aina zote yanapatikana tanzaniaHilo jiwe linaitwa Obsidian. Halina thamani sana kama gem. Jaribu ku google hilo jina utapata details.
Sawa geologist.Usipende ku Google na kuamini kila jina ndio jiwe lenyewe kwanza unatakiwa kujua mawe yanafanana rangi aina nyingi kinachotakiwa ni kuangalia tabia ya jiwe na mpangilio wa nyama zake na lilipopatikana ni wapi hilo jina ulilotaja ukiulizwa yanapatikana wapi hutaweza kujibu najua utaenda ku Google lakini pia sio madini aina zote yanapatikana tanzania
Kama ndio hili ulilonalo basi hii ni thamani yake sokoniAaaah basi hapo hamna kitu
Umeokota hapo Kariakoo, unategemea nini zaidi ya mabaki ya bidhaa ya mchina iliyoungua.Naomba msaada kwa wazoefu, hili jiwe la kawaida au ni aina tu ya madini. Nimeokota nikawa nawasiwasi
View attachment 1938957View attachment 1938958
Nafikiri kiustaarabu hili sio jibu hata wewe unaweza kuuliza kitu au jambo lolote ambalo hulifahamu vizuri na ukajibiwa kistaarabu sio vema kumkejeli mtu anayetaka kujua jamboUmeokota hapo Kariakoo, unategemea nini zaidi ya mabaki ya bidhaa ya mchina iliyoungua.
Naomba nikusaidie maana haujaelewa, jambo la muhimu ulitakiwa utueleze ulikoliokota yaani mji, kijiji au pori la mkoa fulani, vinginevyo ngumu kupata jibu sahihi.Nafikiri kiustaarabu hili sio jibu hata wewe unaweza kuuliza kitu au jambo lolote ambalo hulifahamu vizuri na ukajibiwa kistaarabu sio vema kumkejeli mtu anayetaka kujua jambo
Nimekufafanulia vizuri sana, nikujulishe tu kuwa watu wanachoma chupa na huweza kufanana na almasi au madini mengine.Nimeokota wakati mafundi wanachimba msingi, by the way usijibu kila kitu kuonyesha mjuaji au kutafuta sifa uonekane umechekesha