Baba ilumba
Member
- Apr 18, 2020
- 37
- 49
Kesho asubuhi niamshe unikumbushe ntakushauri
Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
Duuuh watu mnakatisha sana tamaaNaona umeamua kua safari Tanzania, hiyo channel IPO kwenye king'amuzi cha startime
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijamkatisha Tamaa mkuu, nimejaribu kumueleza kua kuna watu wanfanya kazi Kama anayoigikiria kuifanya , chamsingi ni yeye kwenda kuangalia wanafanyaje kazi zao na wanamapungufu yapi? Na yy kuboresha zaidi ili afanye kazi zake kwa ufanisi zaidi.
Wazo zuri, Ila haujaonyesha namna gani uta monetize,Kama ni kwa kutegemea YouTube unaweza chukua muda mrefu kufikia malengo ya kipesa
[hahaaaa]Wazo lake ni kwamba dunia ijue uzuri wa TZ. Mambo ya pesa yeye hataki [emoji1787]
Emaphakadeni