Msaada: HIV Non reactive

Hapana mkuu. Hii ni kanda ya ziwa
 
Jibu sahihi kitaalumu ni Non Reactive na siyo Negative. Hayo ni majibu mawili tofauti

Na ndiyo maana kwa majibu ya Non Reactive huwa tunakupa muda wa kurudi kupima tena
 
Jibu sahihi kitaalumu ni Non Reactive na siyo Negative. Hayo ni majibu mawili tofauti

Na ndiyo maana kwa majibu ya Non Reactive huwa tunakupa muda wa kurudi kupima tena
Sijapewa sasa mimi sasa hiyo siku ya kurudi tena. Na mara zote nikiambiwaga negative huwa napewa tarehe ya kurudi tena.

Kwa kuongezea,
1. nina rafiki yangu ambaye yeye ni lab technician katika hospital moja, nimemuuliza akaniambia Non Reactive haona uwalakini, ni moja kwa moja kwamba ni negative.

2. Nimecheki pia na doctor mmoja ni mwanangu sana na aliwahi kunishauri makubwa na ya siri zaidi ya haya, akaniambia the same thing na hawa ni watu wawili wasiojuana.

3. Washauri wengi wa hapa jamvini wanaoonekana wanajua wanachokisema kiutaalamu hawajasema kwamba Non Rwactive inahitaji kupima tena ku confirm, kwa maana nyingine ni HAKUNA MAABUKIZI kabisa!

4. Bwana google yupo mtumie tu. Ukigoogle na ukasoma results zote hakuna hata moja iayisea hivyo unavyosema wewe. Zote zinakwambia Non Reactive =Negative. Tena nyingine zimeeleza kabisa kwamba Non Reactive does not mean you need another confirmatory test, it means you are HIV Negative!

Sasa sijui wewe ni mwana afya wa wapi??? Hii Tanzania yetu sijui hawa wataalamu wa namna yako imewaokota wapi?? Nasisituza tena: hakuna ulazima wa kushauri jambo usilolieleza vizuri. Ni bora ukawa mtazamaji na we ujifunze kitu.

Hata uandike paragraph 100 zitakubali hicho unachokisema labda kama utabadilisha[emoji12] [emoji12] .

Hii haina maana kwamba sitaendelea kujikinga na maambukizi mapya, au sitapima tena after 3 months, ila ina maana kwamba Non Reactive ina implication sawa na Negative na wala sio hivyo unavyotaka kuniaminisha.
 
Tatizo lako unaongea sana halafu hata hujui unaongea nini zaidi ya kuanza dharau tu!

Wewe ndiye umetoa mada ya hiyo scenario na Mimi nimekujibu kitaalamu kulingana na hiyo scenario yako ilivyoitoa na hata hujui hao hatalaamu humo ndani walitumia nini ktk kufanya hiyo test ya sample ya damu yako.

Mimi bado nasimamia Maelezo niliyoyatoa hapo awali kuhusu majibu ya Non Reactive maana ni nini na ndiyo ulivyo na itabaki kuwa hivyo.

Sayansi hakuna malumbano ni facts tu! Vitu vidogo sana hivi ktk medicine
 

Hivi mkuu hivi vipimo haviuzwi kwenye mafamasi ikibidi mtu ujipime mwenyewe nyumbani?
 
HIV huwezi kupima mara moja ukawa na uhakika.

Kwa sababu ukipima mara baada ya kuipata, virusi havionekani.

Ndiyo maana unashauriwa baada ya kupima mara moja usubiri miezi mitatu upime tena.

Ushaelewa?
 
Hivi mkuu hivi vipimo haviuzwi kwenye mafamasi ikibidi mtu ujipime mwenyewe nyumbani?
Vinauzwa ktk private pharmacy lakini si rahisi sana kuuziwa kwa ajili ya kupiga nyumbani.

Kuna miongozo iliyowekwa kisheria ktk utekelezaji wa huduma ya VVU na Ukimwi
 
Je, ni muda gani hasa hizo antibodies zinatengenezwa? Pia inawezekana mtu akaona dalili za HIV lkn antibodies zikawa bado hazijatengenezwa nahitaji ufafanuzi wa kina, Asanteh
 
Nikweli kuwa kupima tezi dume ni mpaka uingiziwe kidole kwenye puru?
 
Ninawasiwasi hujaandikiwa tarehe ya kurudi japo inajulikana ni 24/7/2017
 
Nikweli kuwa kupima tezi dume ni mpaka uingiziwe kidole kwenye puru?
Ndio kwani kuna ubaya gani Daktari kukuingiza huko kwenye maradhi yako? ukiumwa ukiwa wewe ni Mwanamme unaweza kumuonyesha Dushelele lako Daktari Mwanamke. Na ukiwa wewe ni Mwanamke una umwa unaweza kumuonyesha papuchi yako Daktari Mwanamme ni vitu vya kawaida tu. Uki umwa huna aibu kuonyesha tupu yako.
 
Vipi kuhusu kupewa majibu kwa mdomo kuwa hujaathirika ni sahihi au unakuwa umefichwa ukweli?
 
HIV huwezi kupima mara moja ukawa na uhakika.

Kwa sababu ukipima mara baada ya kuipata, virusi havionekani.

Ndiyo maana unashauriwa baada ya kupima mara moja usubiri miezi mitatu upime tena.

Ushaelewa?
Boss hilo linaeleweka. Kuna window period virus wanakuwa hawajaweza kuwa detected. Mimi swali langu halikuwa hilo mkuu, nilitaka kujua tu maana ya non reactive. Ndo maana nikasema hii haimaanishi kuwa sitapima tena aftr 3 months ila nataja kujua non-reactive ilimaanisha nini bhaaaasiii! Nadhani umenielewa chieg
 
Naam.

Kwenye non-reactive tumejibu kwa mfano wa litmus test.
 
Maana yake una ukimwi lakini ukimwi wako uko domant na umejificha sana
 
Boss nashani umeshauri jambo usilokuwa na elimu nalo kulitaalamu. Naoa unatumia unayoyawaza wewe. Pole ya nini? Mi nia HIV?? Non reactive means Negative. Mtumie hata gpogle akusaidie sio kupanikisha watu
Sasa kama ulikuwa unaju maana ya ''Non reactive'' kwa nini umeleta hoja huku? Umeleta ili kujaza space JF, au kumaliza MB zetu.

Pole ni kwa ajili ya stress uliyoipata.
Pole tena Mkuu.
 
HIV huwezi kupima mara moja ukawa na uhakika.

Kwa sababu ukipima mara baada ya kuipata, virusi havionekani.

Ndiyo maana unashauriwa baada ya kupima mara moja usubiri miezi mitatu upime tena.

Ushaelewa?
Jaman h.I.v hajawai kuonekana tang dunia ilivyoubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…