Msaada hivi gari hii inawerza kurudi kwenye hali ya kawaida

Msaada hivi gari hii inawerza kurudi kwenye hali ya kawaida

eity 4

Senior Member
Joined
Dec 7, 2014
Posts
148
Reaction score
209
Hii ni gari yangu imepata ajali, wasiwasi wangu ni kuwa huu ndiyo mwisho wake. Engine inawaka, ndani hakuna shida kimuonekano isipokuwa airbag iliyofumuka, hub ya nyuma kushoto imengoka kabisa

.bodi ndio kama linavyoonekana. Je wapo mafundi wanaweza kulitengeneza likarudi kwenye hali yake? Msaada tafadhari.
 
Back
Top Bottom