Msaada, hivi kocha mkuu wa Azam FC ni nani?

Kocha mkuu aliyesajailiwa CAF ni yuke mzungu, lkn Tanzania tunaaminishwa Dabo ndo mkuu
 
Dabo hana hata vyeti???????

Haba vyeti vya kuweza kusimama kama kocha mkuu.

Kwenye makaratasi Kocha Mkuu ni Mzungu, kwenye Field kocha mkuu ni Dabo.
 
Dabo hana hata vyeti?

Dabo vyeti anavyo ila ahajafanya refesh course ,nadhani ndio tatizo
 
Dabo hana hata vyeti?

Haba vyeti vya kuweza kusimama kama kocha mkuu.

Kwenye makaratasi Kocha Mkuu ni Mzungu, kwenye Field kocha mkuu ni Dabo.
Sasa TFF inasimamia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…