Msaada: Hivi nitajuaje kama mimba hii ni ya kwangu?

Msaada: Hivi nitajuaje kama mimba hii ni ya kwangu?

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
Habari zenu wadau kwa mara nyingine nakuja kuomba ushauli toka kwenu .

Hivi nitajuaje kama mimba ninayoambiwa na mpz wangu ni yangu kwa sababu kuna kitoto nimetoka kumgonga hata week haijaisha anadai ana mimba yangu

Hebu nisaidieni jinsi ya kutambua hiii mimba ni yangu
 
Sasa kama unajua amegongwa si umwambie unajua na baada subiri akizaa.. au kucheki dna mtoto akiwa rumboni ipo pia..
 
Week haijaisha kakuambia ana mimba yako?

Be serious muite ukampime ujue kama ni kweli.

Mimba ya chini ya wiki hata mhusika kuijua ni ngumu
 
Habari zenu wadau kwa mara nyingine nakuja kuomba ushauli toka kwenu .

Hivi nitajuaje kama mimba ninayoambiwa na mpz wangu ni yangu kwa sababu kuna kitoto nimetoka kumgonga hata week haijaisha anadai ana mimba yangu

Hebu nisaidieni jinsi ya kutambua hiii mimba ni yangu

Hivi watu bado mnagongana bila kinga siku hizi, kwa hali hii? Kweli mna hatari.
 
Kuwa makini utajikuta unalea mimba ya mwanaume mwenzako.
Nenda kampime ultra sound, huko watajua mimba ina miezi mingapi sasa connect dot lini mlikutana kimwili. Jibu likiwa tofauti ujue umesingiziwa
 
Kama hukuvaa condom basi ni kipimo tosha kuwa huyo mtoto ni wako
 
Sasa ulipokuwa una mgonga pekupeku ulikuwa unategemea nini, hizi shule Bora zifunguliwe
 
Utajua tu kwa kuangalia ni tumbo lipi limefutuka,lako au la mwenzio.
 
Utajua kwa kuona dalili za vitabia vya mtu mwenye mimba kama hivi ulivyovionesha kwenye thread..nazani ni yako mkuu
 
Back
Top Bottom