Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Fanya hv nenda kwenye duka la dawa halafu jaribu kuwaulizia nadhani watakusaidia
 
Kuwa na amani dadake uko salama kabisa wala usihofu
 
Ndivyo kabisa tens yupo second line baada ya vile vya awali kushindwa kafanya kazi kama sikosei ni aluvia.upo mkuu
 
Fanya hv nenda kwenye duka la dawa halafu jaribu kuwaulizia nadhani watakusaidia
Nilienda kwa doctor nikamwambia zmeshapta cku 7 toka nijkate akanipa REVIVO CAPSULES kaniambia nmeze mwez mzma xaxa ndo sielew hata zinafanyaje kaz yy kaniambia cjui znaenda kuboost immune system
 
jamaa anatia tungi saizi mamake hatari sana ndo muachane na wake wazuri wana matatizo
 
cheki hapa ufananishe kama hicho kipo
arv pills 127 - Recherche Google
 
Kvp nifafanulie
Nenda Google mtafute Dr Robert Charles Gallo au usachi The man who created AIDS.

Au utafute uzi humu Jf wa siku nyingi sana unaitwa Dr Robert Charles Gallo: The man who created AIDS, huu Uzi utakupa nuru kubwa sana kwenye hii kitu inaitwa AIDS.
 
Kwahyo ww kama ww hili swala la kujikata na huu wembe unanishaurije
 
Kama hakujitoa damu usiwe na wasiwasi.
 
Alitaka aondoke na wewe... ndio mkome zinaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…