Msaada: Hivi wenzangu mnaweza kuingia Twitter kupitia laptop/Kompyuta?

Msaada: Hivi wenzangu mnaweza kuingia Twitter kupitia laptop/Kompyuta?

Royal Warrior

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
1,166
Reaction score
2,143
Habari zenu wakuu,

Nimekua nashindwa kuingia Twitter kupitia laptop yangu, je hili tatizo lipo kwangu tu au kwa kila mtu?

Kwenye App ya simu inakubali fresh tu
 
Tweeter kule hakuna wajinga wajinga ndo sababu mpaka sasa wamefunga watu wasiingie.
 
Back
Top Bottom