dumejm
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,180
- 853
Kujiskia uchovu sana na moyo kupiga kwa nguvu na kwa haraka sana mara tu baada ya kula (nusu saa baada ya kula hadi masaa mawili sana sana breakfast na chakula cha mchana)
Kuyumba yumba au kukosa balance wakati wa kutembea (inatokea ghafla). ... ukitembea kuhisi kama utaanguka no hofu huongezeka na hali inazidi kuwa mbaya.
HIZI NI DALILI ZA NINI WATAALAMU.... MSAADA WENU
Sent from my iPhone using JamiiForums