Basi nenda tu hospital kwa msaada zaid boss.HB Level = normal
Bp = 120/90
Malaria = -ve
Sent from my iPhone using JamiiForums
Umeshajua dawa kabla ya vipimo!!!?View attachment 1011577mwili wako umekosa balance ya virutubisho sahihi vinavyostahili,, dawa hiyo itaondoa kabisa tatizo lako,, check me kwa pm ujue unapata vipi dawa hiyo, sio chemicals imetengenezwa kwa matunda mchanganyiko.polee na karibu
am a doctor, na maelezo ya muhusika tu inatosha kujua tatizo, si lazma apingwe misindano au atolewe damu, ni kwa msaada wake bt ni yy ndo ataamua anaweza kwenda hosptl si mbaya pia
a
am a doctor, na maelezo ya muhusika tu inatosha kujua tatizo, si lazma apingwe misindano au atolewe damu, ni kwa msaada wake bt ni yy ndo ataamua anaweza kwenda hosptl si mbaya pia
Kujiskia uchovu sana na moyo kupiga kwa nguvu na kwa haraka sana mara tu baada ya kula (nusu saa baada ya kula hadi masaa mawili sana sana breakfast na chakula cha mchana)
Kuyumba yumba au kukosa balance wakati wa kutembea (inatokea ghafla). ... ukitembea kuhisi kama utaanguka no hofu huongezeka na hali inazidi kuwa mbaya.
HIZI NI DALILI ZA NINI WATAALAMU.... MSAADA WENU
Sent from my iPhone using JamiiForums
Naomba kujua age yako
Kujua kama una matumiz ya pombe
Na sexual ralation yako uliyonayo kwa kipindi cha nyuma mkuu
Ukija unitagg ili nikupe proper diagnosis
Sent using Jamii Forums mobile app