Msaada. Homa ya Ini B. Mume anawezaje kumkinga mkewe?

Private investigator

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
303
Reaction score
287
Ikiwa mume anayo hiyo homa, anaweza kushiriki tendo la ndoa na asimuambukize mkewe? Pia kuhusu uzazi, anaweza kumpa mkewe mimba na mtoto kuzaliwa salama bila kurithi ugonjwa?
 
Mke akapige chanjo ya homa ya ini itamsaidia asiweze kuambukizwa na mume wake homa ya ini. Na tiba ipo ya homa ya ini ukihitaji nitafute kwa wakati wako.
 
Ikiwa mume anayo hiyo homa, anaweza kushiriki tendo la ndoa na asimuambukize mkewe? Pia kuhusu uzazi, anaweza kumpa mkewe mimba na mtoto kuzaliwa salama bila kurithi ugonjwa?
Mkuu Kwanza kabisa Mke akapime Kama bado hajapata MAAMBUKIZI.baada ya Hapo akachanje chanjo ya homa ya ini.
Homa ya ini huambukiza kwa njia nyingi Ni Kama ilivyo kifua kikuu tofauti Yake haiambukizi kwa hewa tu,pia Mgonjwa akianza tiba huwa haambukizi.
 
Baada ya hapo anaaweza kushiriki tendo na akazaa bila kuambukizwa?
 
Ukisha chanjwa ni mda gani sahihi wa kushiriki tendo la ndoa na mke ambaye hajachanjwa
Au aliyechanjwa hawezi mwambukiza asiye chanjwa?
 
Nenda Mnazi mmoja oale ndio wanatoa chanjo kwa sindano ya 40k tu. Maswali yako yatapatiwa majibu pale
 
Back
Top Bottom