Msaada: Honeymoon..

za asubuhi mama, mbona umepotea au ndio mambo ya kuhesbiwa huko kilima kyaro

Humu JF inaonyesha ni mimi, Kitila Mkumbo na Nilham tu ndio sio wachagga..... Chadema Oyeeeeeeeeee :teeth:
 
Wasikilize Dena na NATA hapo juu, utapata majibu yote. Kwa nyongeze, the best hotel kwa honey moon in Dar ni Paradise, Mkapa Tower. Good Luck.
 
Zipo za bei rahisi bwana acha uvivu wa kusoma ukigoogle hakuna hotel inakuja inatwa giraffe, whitesands, nk si ndio hizo unataka za baharini au hizo hazina bei kubwa kiasi hicho kama giraffe pale USD 150 - 200 au unataka za USD 20 - 30 NINI?
 
hizi za usd 20-30 zitakuwa sio mapumziko ya honey moon tena 😛arty:
 
hii hapa naomba unipe cost zake kwa makisio inakuwaje ili na mie niende na mpendwa wangu tukapumzike kidogo baada ya kazi ngumu za kutukanwa na boss

FL1,

Kazi ya kutukanwa na boss ndiyo ipi tena? Unaamka saa 11 asubuhi kwenda kufanya kazi ya kutukanwa na boss!
 
Ukija dasalama mie nitakuwa mwenyeji wako.

Sokomoko ushaanza sokomoko lako. Huyo mtoto wa kiarabu ni wangu, tena next week ntaaelekea oman kumfuata. Angalia dogo usije kukojoa dagaa mchele!!!!, shauri yako!!
 
Sasa kama hataki hizo za USD 200 - 300 Tumfanyaje sasa akalale kwenye kunguni huko

Dena..jamaa hawezo afford hiyo, si kupenda kwake! atmost angeweza around 100 ivi..
Nimesikia moja sijui ikoje: Jangwani sea breeze resort!
 
mi siko omani usije potea hatujaonana!!!
Sokomoko ushaanza sokomoko lako. Huyo mtoto wa kiarabu ni wangu, tena next week ntaaelekea oman kumfuata. Angalia dogo usije kukojoa dagaa mchele!!!!, shauri yako!!
 
hii hapa naomba unipe cost zake kwa makisio inakuwaje ili na mie niende na mpendwa wangu tukapumzike kidogo baada ya kazi ngumu za kutukanwa na boss

Pls call 0713 299456 Costas for current rates. Or visit their office, Mikocheni next to Shopper's Plaza bldg. Its a great place to be, you won't regret. In addition, they are running some community-based projects in the neigbouring villages so you can lend a hand if you'd like to mix holiday with some volunteering.
 
mwambie aende machi machi guest sinza kama imejaa kuna nyingine iko kule kinondoni pale mwembe jini ,inaitwa machi machi annex ..bei rahisi sana ni 6,000/=TZS kwa usiku mmoja mkiwa wawili ni 8,000/=TZS
 
Dena..jamaa hawezo afford hiyo, si kupenda kwake! atmost angeweza around 100 ivi..
Nimesikia moja sijui ikoje: Jangwani sea breeze resort!

We acha makusudi bwana unazijua halafu unajifanya hujui hiyo hiyo ndo poa iko baharini, pia kuna Belinda resort, na nyingine karibu na hapo majina yamenitoka 45 USD
 
mwambie aende machi machi guest sinza kama imejaa kuna nyingine iko kule kinondoni pale mwembe jini ,inaitwa machi machi annex ..bei rahisi sana ni 6,000/=TZS kwa usiku mmoja mkiwa wawili ni 8,000/=TZS

Namnani ya Sinza je? :A S wink:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…