Msaada: Honi ya gari aina ya premio kutofanya kazi

Msaada: Honi ya gari aina ya premio kutofanya kazi

swamila

Senior Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
176
Reaction score
81
Ndugu wana jf gari yangu aina ya Toyota mremio imegoma kupiga honi nimepeleka kwa mafundi lkn bado ngoma iko vilevile haipigi. Kwahiyo nachoomba ni msaada kwa yeyote mwenye kuyafahamu haya mambo ya honi anisadiae
 
Kuna mkanda humo kwenye usukan utakuwa umekatika na ili kujua kama ndo wenyewe angalia kama taa ya airbag, kama inawaka basi makanda umeharibika
 
Back
Top Bottom