S swamila Senior Member Joined Apr 4, 2015 Posts 176 Reaction score 81 Nov 22, 2017 #1 Ndugu wana jf gari yangu aina ya Toyota mremio imegoma kupiga honi nimepeleka kwa mafundi lkn bado ngoma iko vilevile haipigi. Kwahiyo nachoomba ni msaada kwa yeyote mwenye kuyafahamu haya mambo ya honi anisadiae
Ndugu wana jf gari yangu aina ya Toyota mremio imegoma kupiga honi nimepeleka kwa mafundi lkn bado ngoma iko vilevile haipigi. Kwahiyo nachoomba ni msaada kwa yeyote mwenye kuyafahamu haya mambo ya honi anisadiae
samilakadunda JF-Expert Member Joined Oct 13, 2011 Posts 1,780 Reaction score 355 Nov 26, 2017 #2 Ameangalia mkanda hapo kwenye uskanii?, taa ya air bag haikawakaa
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,253 Reaction score 22,843 Nov 26, 2017 #3 Kuna mkanda humo kwenye usukan utakuwa umekatika na ili kujua kama ndo wenyewe angalia kama taa ya airbag, kama inawaka basi makanda umeharibika
Kuna mkanda humo kwenye usukan utakuwa umekatika na ili kujua kama ndo wenyewe angalia kama taa ya airbag, kama inawaka basi makanda umeharibika