Msaada: Hospitali yenye daktari wa wanawake mkoa Kilimanjaro, Moshi

debon

Senior Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
145
Reaction score
89
Pole na majukumu wakuu, naomba kujuzwa hospitali nimayoweza kupata daktari wa wanawake mkoani Kilimanjaro, Moshi tofauti na KCMC, ni emergence tafadhali msaada wenu muhimu.

Natanguliza shukrani.
 
pole na majukumu wakuu, naomba kujuzwa hospitali nimayoweza kupata dactari wa wanawake mkoani kilimanjaro, moshi tofauti na kcmc, ni emergence tafadhali msaada wenu muhimu, natanguliza shukrani



nenda mawenzi hospital siku ya jumanne kuna daktari mzuri sana anakuwepo siku hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…