NENDA MUHIMBILI au NJOO DODOMA KUNA HOSPITALI NZUURI YA DCMC- NTYUKAHabari wakuu. Nina meno mawili ya juu yametoboka kwa pamoja. Sasa yanauma. Nisingependa kuyang'oa nataka tufanye re fill. Ila nitasikliza ushari wa mtaalamu. Je ni wapi naweza kupata huduma zote hizi? Pamoja na kusafisha meno.
Niko dar. Nina kadi ya NHIF. Au kama gharama nidokeze na kiasi
Huu uzi uliusahau au ulipata suluhisho kwa muda na sasa tatizo limejirudia?
Nenda upanga kwa Dr amir ni dentist and hospital yake inaitwa 909 ila hapokei bima Ni cash
Nilipata ya kienyeji. Ila now hali ngoma imekua ngumu . Meno hayana ubaunsa dada . Na midevu yangu nalia lia tu hapa.Huu uzi uliusahau au ulipata suluhisho kwa muda na sasa tatizo limejirudia?
Kufanya root canal na kujaza risasi ni bei gani? Sitaki kwenda hospital kuuliza bei. Nataka nijue nikienda nimejipanga.Nenda upanga kwa Dr amir ni dentist and hospital yake inaitwa 909 ila hapokei bima Ni cash
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Nenda utapata ushauri na gharama zote hapoKufanya root canal na kujaza risasi ni bei gani? Sitaki kwenda hospital kuuliza bei. Nataka nijue nikienda nimejipanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huumwi mkuuNitoke Tabata adi upanga kufata ushauri ninaoujua? Nataka bei mkuu sio unambie niende kichwa kichwa tu. Ushasema mambo ni cash.
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh pole sana kaka!Nilipata ya kienyeji. Ila now hali ngoma imekua ngumu . Meno hayana ubaunsa dada . Na midevu yangu nalia lia tu hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuuBabuu Meno sio kama pancha ya tairi, lazima uende ukafungue kinywa waku assess...
Sent using Jamii Forums mobile app
Meno yako yametoboka katikati au pembeni? Kama pembeni haitosaidia itabidi uyatoe, kama ni katikati ya meno usiyatoe ziba tu, gharama jino moja ni elfu 50 hapa JOLE Optical, Moro. Mtafute dentist Ally, yupo vizuri sana.Habari wakuu. Nina meno mawili ya juu yametoboka kwa pamoja. Sasa yanauma. Nisingependa kuyang'oa nataka tufanye re fill. Ila nitasikliza ushari wa mtaalamu. Je ni wapi naweza kupata huduma zote hizi? Pamoja na kusafisha meno.
Niko dar. Nina kadi ya NHIF. Au kama gharama nidokeze na kiasi
Nashukuru sana mkuu bwana sina jina.. Wewe blance86 umeona wanaume wanavyojua kujieleza. ?Meno yako yametoboka katikati au pembeni? Kama pembeni haitosaidia itabidi uyatoe, kama ni katikati ya meno usiyatoe ziba tu, gharama jino moja ni elfu 50 hapa JOLE Optical, Moro. Mtafute dentist Ally, yupo vizuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaweza kununua dawa ya med_oral hii n kiboko nenda pharmacy ulizia hii dawa gharama haifik 5000 utanipa mrejesho mkuuNashukuru sana mkuu bwana sina jina.. Wewe blance86 umeona wanaume wanavyojua kujieleza. ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sysodine ndo natumiaga . Ila mich respect mkuu. Nime i note iyo.Mkuu unaweza kununua dawa ya med_oral hii n kiboko nenda pharmacy ulizia hii dawa gharama haifik 5000 utanipa mrejesho mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app