#COVID19 Msaada: Hospitali zinazotoa Chanjo ya Pfizer au Mordena

EP MEDICS COSMETICS STORE

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
2,826
Reaction score
4,593
Habari ya majukumu wapendwa.

Ninaomba kujua kama kuna hospital inayotoa chanjo ya Pfizer au Mordena kwa Tanzania hapa.
 
Habari ya majukumu wapendwa.

Ninaomba kujua kama kuna hospital inayotoa chanjo ya pfizer au mordena kwa tanzania hapa.
 
Kwanini wahusika hawaweki orodha ya majina ya vituo vya chanjo ya covid 19 nchi nzima. Wizara ya afya tafadhali sana. Wengine tumepoteza ndugu kwa ugonjwa huu
 
Kwanini wahusika hawaweki orodha ya majina ya vituo vya chanjo ya covid 19 nchi nzima. Wizara ya afya tafadhali sana. Wengine tumepoteza ndugu kwa ugonjwa huu
Mbona vituo vya chanjo viliwekwa kitambo mkuu
 
ukifaulu na mm nahitaji sana naomba tujulishane

The country aims to vaccinate 35 million people, to achieve herd immunity. In another shift, Health Minister Dorothy Gwajima— who once recommended home remedies — said the country was looking at acquiring several vaccines, including Sinopharm, Pfizer-BioNTech and Moderna.

Kwenye UZINDUZI
 
Nenda Ubarozi wa Marekani wao wanatumia Hiyo Pfizer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…