Msaada; How can CD4 be Boosted?

Msaada; How can CD4 be Boosted?

Kisima

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
4,114
Reaction score
4,486
Habari Madakitari JF,
I have a patient suffering from AIDS
kinga yake imeshuka hivi,
CD4 -21
CD8- 62
By this juncture she is suffering from Malalia, typhoid n i thing there are some symptoms of TB.
How can i do ili niboost CD4 zake? coz amedhoofika sana.
Nahitaji msaada wenu very urgently!
 
Pole sana Kisima kwa ugonjwa,
tafadhali tembelea vituo vya afya vilivyo
karibu nawe kwa ushauri na dawa za kuongeza nguvu
 
Habari Madakitari JF,
I have a patient suffering from AIDS
kinga yake imeshuka hivi,
CD4 -21
CD8- 62
By this juncture she is suffering from Malalia, typhoid n i thing there are some symptoms of TB.
How can i do ili niboost CD4 zake? coz amedhoofika sana.
Nahitaji msaada wenu very urgently!

Pole sana,

Kitalaam njia sahihi ya kuongeza CD4 ni kuzuia multiplication ya HIV virus katika damu ya mgonjwa. Maana ni kuwa mgonjwa anapaswa kutumia ARV kwa usahihi kwa maisha yake yote. Kwa maelezo yako, mgonjwa wako yuko katika stage 4 ya ugonjwa, na pengine uko sahihi kuwa mgonjwa anaweza kuwa na TB. Cha kuzingatia pia ni kuwa kwa hali ya mgonjwa wako, kutambua TB kwa xray na makohozi ni ngumu sana (imethibitishwa kitalaamu kuwa ni wagonjwa wengi wa TB hawataonyesha ugonjwa kwa kipimo cha makohozi na Xray katika stage 4 ya ugonjwa)

Ufanye nini:
1. Mpeleke katika kituo cha karibu chenye kutoa dawa za ARV (Care and treatment clinic)
2. Ni muhimu akaanza kutibiwa TB kwanza,japo kwa wiki 2 kabla hajaanza ARV
3. Wakati anafanya vipimo vingine,atibiwe magonjwa mengine nyemelezi,kama vile funal ingections, kuharisha,etc
4.Hakikisha anapata tiba sahii ya Malaria (ALU au Quinine, ama atakavyopendekeza daktari wako) pia atibiwe Typhoid (Ciprofloxacin ama atakavyoshauri daktari)
5. Aandaliwe kisakolojia,Counselling ili kumuwezesha kuwa na ufuasi mzuri wa dawa.

Usikate tamaa, hata katika CD1, wagonjwa wameamka na sasa wamerejea katika maisha yao ya kila siku.

Unaweza kuniPM, I will be able to respond to you on Thursday, 13th January
 
Kizimkazimkuu:

Mkumbushe pia kucheck state ya mafigo na maini kabla ya kuanza ARV - Stage 4 - kama atakuwa na complications na ini au figo na wakmuanzishia ARV - it is a death sentence outright!

Pole sana Kisima - Pale Dar es Salaam kuna Daktari mmoja anaitwa Kaushad (I'm not sure of the spelling) - he has all the testing equipments - waweza kuwasiliana na TACAIDS kama upo Dar es Salaam.

Good Luck
 
yeah!
I got u Obuntu,
previously she bn told dat anatatizo la figo na alipewa dawa ya figo na akapewa ceptlin kwajl ya kutibu magonjwa nyemelezi(naongea hivyo coz by that time sikuwa naye karibu ila ndicho alichonieleza.)
nawashukuru sana wewe na kizimkazmkuu kwa mchongo huu na ntafanya km mlivyodokeza.
Zaidi ya yote nitawapm time to time kunishauri zaidi.
Really i thank u all.
 
Back
Top Bottom