Jamani naomba mnisaidie matatizo haya kwe HP laptop
1. cursor inaganda na kutembea hovyo kwenye monitor kila nikichomeka adapter kuchaji hivyo inanilazimu kuchaji ndio nitumie tatizo limeanza baada kuharibika adapter ya mwazo hii mpya inasumbua
2. Microsoft office app zangu ikifungua inaniandikia activation failed natumia window 10
3. Number za upande wapili kulia hazifanyi kazi nimejaribu Ku unlock hakuna tu
tatizo la kwanza ni hiyo adpter ni ya bei rahisi elf 15 au elf20 au kwa lugha ya kkoo ni ya dukani haifai haifai nunua genuine ni bei ghali sana au tafuta ya mtumba bei inaanzia elf 30 kuendelea ukibisha ukawa mbahili ukiendelea kutumia hiyo utauwa PC yako
tatizo la pili download kmspirco then maliza hiyo ishu
tatizo la tatu sijakuelewa namba hazifanyi kazi au keyzote za numblock hazibonyezeki hata ukitumia pageup pagedown ama
1. Tafuta adapter original achana na adapter xa bei cheee
2. Tafuta cracks za office programs.. kuna powerful activator ninayo inaactivate windows zooote na office kuanzia 2010 up to now.
3. Jaribu kupress button ya NUM LOCK kama ipo active.. ikiwa active itaruhusu ww kutumia hizo number otherwise itatumika kama cursor tu