Msaada. Huawei A20 imekataa kuconnect kwenye hotspot

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Hii simu ilipata new vison. Baada ya kudownload, ikazima na kujiwasha kama simu nyingine . Ilipowaka ikataka network ya data au wifi. Ukiwasha hotspot inakubali na ina pair kabisa. Ila haikubali ku connect.

Imenisumbua. Nimeipeleka kwa mafundi wa software wameshindwa. Nimeona nije hapa jukwaani kwa mzaada zaidi.

Kwa sasa inaoneka kama hapa chini.
 
Pia unaweza kutumia HiSuite baadhi ya simu za Huawei kufanya recovery.

 
Nipo mkoani, morogoro. Wilayani kilombero(ifakara) hii huduma nimeshindwa kuipata.
Maamuzi. Naituma dsm kwa ajili ya matengenezo.
Ahsanteni wote mliotoa ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…