Msaada: Huduma ya kwanza kwa mtu aliyelewa kupindukia

Msaada: Huduma ya kwanza kwa mtu aliyelewa kupindukia

ameline

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2,292
Reaction score
1,151
Ndugu zangu,kuna wifi yangu amekuja kunitembelea amekunywa dompo akachanganya na konyagi sijui kama kuna vingine maana hizo ndo naziona.amelewa sana mpaka amezimia.mim si mnywaj so, sijui hata nimpe nini kikate kilevi.ametapika sana kabla hajazimia nlichofanya nimempa huduma ya mtu aliezimia tu nawaza kumpeleka hosp saiv. nisaidieni madoctor na wadau wengine nimpe nini jamani.asanteni
 
Hahaaaa pombe si CHAI
 
Mmh mpaka amezimia aisee!humu utachelewa we mpekele hospitali bibie!pole!
 
Back
Top Bottom