Kuna mtu alitiwa hatiani mkuu,labda kama aliongeza maneno ya uchochezi ndio maana nimeomba nakala ya hukumuKusema Yesu sio Mungu ni kifungu gani cha sheria kitakutia hatiani ? Hizo ni imani tu , ili mradi usiongezee maneno ya uchochezi .
Mkuu, bila shaka ni kasi ya Dibagula. hii hapaWakuu habari zenu,
Nakumbuka Tanzania kuna mtu aliwahi kushtakiwa kwa kusema Yesu sio Mungu miaka ya 2005 hivi.
Ni wapi naweza kupata nakala ya Hukumu hio au kama kuna mtu anayo anisadie nahitaji kujifunza baadhi ya mambo humo
Natanguliza shukrani.
Hiyo hukumu ukiisoma hapo ndo unaona kua Samatta alikua ni mwamba!Mkuu, bila shaka ni kasi ya Dibagula. hii hapa
Exactly. Sammata alikuwa akitoa hukumu na reasoning yake unaiona, tena iliyosimama. Si majaji wetu wa sasa ni kutoa uamuzi tu lakini reasoning hakunaHiyo hukumu ukiisoma hapo ndo unaona kua Samatta alikua ni mwamba!
Mkuu una collection mbali mbali za cases(dicta).Mkuu, bila shaka ni kasi ya Dibagula. hii hapa
Mkuu Dragoon....Exactly. Sammata alikuwa akitoa hukumu na reasoning yake unaiona, tena iliyosimama. Si majaji wetu wa sasa ni kutoa uamuzi tu lakini reasoning hakuna
Ninakuandalia mkuu, kaa mkao wa kula tuMkuu una collection mbali mbali za cases(dicta).
Nifanyie mpango basi kwenye areas zote za law.
Unitag ukizileta mkuu...Ninakuandalia mkuu, kaa mkao wa kula tu
Ntashukuru sana mkuu hata kama zipo 1,000 kama inawezekana naziomba zote mkuu.Ninakuandalia mkuu, kaa mkao wa kula tu
InshallahUnitag ukizileta mkuu...
Ntashukuru sana mkuu hata kama zipo 1,000 kama inawezekana naziomba zote mkuu.
Pia naomba hizi sana
1.JARIBU ABDALLAH V R CRIM APP 220 OF 1994 CAT DAR 2001 UNRPTD.
2. EMMANUEL SENYANGWA V R 22 OF 2004 CAT DAR 2006 UNRPTD
3. KIKUYU KIMONDI V R CRIM APP 99 OF 1991 CAT MZA 1991
4. SPERATUS THEONEST V R CRIM APP 138 OF 2005 CAT MZA 2007
5. LUBELEJE MAVINA V R CRIM APP 172 OF 2006 CAT DAR 2006 UNRPTD
6. CHRISTOPHER NYIMBO V R. CRIM APP 31 OF 1997 CAT MBEYA 2004
7. KAZILO SAMBILA V R CRIM APP 122 OF 1990 CAT MWANZA 1991 UNRPTD
8. FELIX LUCAS KISINYILA V R CRIM APP 129 OF 2002 CAT DAR 2005
9. ANNES ALLEN V DPP CRIM APP 173 OF 2007 CAT ARUSHA 2010
Hapana sikuzipata mana hakunitumia tenaMkuu kama ulizipata nawewe ziweke humu watu wazisome