Patra31 JF-Expert Member Joined Apr 24, 2020 Posts 6,918 Reaction score 13,885 May 29, 2020 #41 Chuku chuku said: Umechanganya mkuu, hizi sio pumbu za paka hiyo ni mnyonyo ukijichanganya ukatafuna mbegu zake zaidi ya tatu, utaharisha mpaka ulegee. Click to expand... Na kama unaujauzito unatoka, watu utumia hii kama njia ya kufanyia abortion pia
Chuku chuku said: Umechanganya mkuu, hizi sio pumbu za paka hiyo ni mnyonyo ukijichanganya ukatafuna mbegu zake zaidi ya tatu, utaharisha mpaka ulegee. Click to expand... Na kama unaujauzito unatoka, watu utumia hii kama njia ya kufanyia abortion pia
Chuku chuku JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 873 Reaction score 1,360 May 29, 2020 #42 Patra31 said: Na kama unaujauzito unatoka, watu utumia hii kama njia ya kufanyia abortion pia Click to expand... Noma sana!
Patra31 said: Na kama unaujauzito unatoka, watu utumia hii kama njia ya kufanyia abortion pia Click to expand... Noma sana!
chash JF-Expert Member Joined Jun 5, 2012 Posts 548 Reaction score 230 May 30, 2020 #43 Demand ya castor oil ni kwa kutengeneza mafuta ya nywele ya waafrika majuu. Haswa wanahitaji black.