DK The Farmer
Senior Member
- May 27, 2013
- 103
- 16
Ni kwa mara ya kwanza kufuga kuku wa broiler, wana wiki 3 sasa, ila kuna baadhi wanakuwa kama miguu inashindwa kusimama, wanakosa nguvu, na mda mwingine kutetemeka kwa mbali...nisaidieni jamani huu ni ugonjwa gani?