Ni kwa mara ya kwanza kufuga kuku wa broiler, wana wiki 3 sasa, ila kuna baadhi wanakuwa kama miguu inashindwa kusimama, wanakosa nguvu, na mda mwingine kutetemeka kwa mbali...nisaidieni jamani huu ni ugonjwa gani?
Mimi binafsi sijawahi kufuga kuku ila kama tatizo kama hilo lingenipata basi ninge enda kwa Veterinarian(daktari wa mifugo na wanyama) angeweza kukusaidia tatizo ni nini kwakuwa umeamua kufuga basi daktari atakueleza ratizi ni nini ma dawa yake for future reference